Tuesday, March 19, 2013

Mbolea ya black mulch kwa ajili ya mimea
    Hii mbolea inaitwa black mulch, mbolea hii hutokana na miti iliyokatwa ama kudondoka, majani yaliyodondoka, wanyama waliogongwa barabarani, ama kufa, kwa ufupi mizoga....miti ya x-mass ikiisha muda wa kutumia, inakusanywa na kiwanda huisika hupita kukusanya, ni mbolea   nzuri sana kwa mimea, maua miti majani, nk, na ina rutuba sana kwenye mimea  ya aina yote. Husaidia sana, kuifahidhi  maji,   ardhini kwa muda  mrefu, sana hata wakati wa jua kali.   

Tunaitumia  kwa wingi sisi ma landscapers, in  northern states, i am not sure in southern states, ila kwa ujamla ni mbolea  yenye    rutuba sana. 

Huku kwetu, hatutupi vitu....hua vinakusanywa na kutengeneza vitu vingine.....na pia inasaidia sana sana, kuweka jiji safi....
Mimi binafsi hua ninafikiria kipindi cha x-mass ile miti ingekua inakusanywa , ama hiyo mizoga barabarani na kutengeneza hii mbolea, na ingesaidia ajira kwetu sisi watanzania pia.....


From:
Mrs. Jossyanne 
Landscaper
USA

No comments:

Post a Comment