Tuesday, August 7, 2012

Introducing Roman Blind.....

 Roman Blind, ikiwa tayari... hapa ni jikoni... dirisha ziko 2......
 Unaivuta kamba mpaka utakapotaka urefu ufikie....
 tuki set..... roman blind jikoni.....kwa kweli jiko lilipendeza sana. kulikua hakuna pazia lolote, ndio tuliweka sie hizi blind...


 Ofisini, tukiandaa blind, tulishona, na kuiandaaa.....na kwenda kuifunga...
 tuki jaribu, baada ya kuifunga...
Roman blind ikirekebishwa.... kabla ya kumkabidhi mwenye nyumba.....Roman Blind, ni aina ya pazia, ambayo ni kitambaa tuu hivi hivi vya pazia,, ila kwa hii ina machine maaluum kwa ajili yake,,, na ina kamba kwa pembeni, sasa wewe kazi yako ni kuvuta mpaka pale utakapoona ufupi unaoutaka, ni imara, na ni nzuri...

Inatumika chumba chochote.. kile....
hii sasa malipo yake ni kwa square meter... sasa inategemea na ukubwa wa dirisha lako. na mwisho wa kutengeneza blind ni kwenye madirisha ya mita 2 upana...ndio  inapendeza na kukaa vizuri, ikizidi na kua ni mita 3 upana wa dirisha. basi tunaweka blind 2...

Tunakushuru mteja wetu.. na tunakutakiaa kila la kheri katika kazi zako....


Karibuni sana...

2 comments:

  1. Mnacharge kiasi gani kwa roman blinds? zimependeza sana

    ReplyDelete
  2. Ndio bei gani hizo pazia?!!!! mie nahitaji kwa madirisha 3!

    ReplyDelete