Friday, August 10, 2012

Dressing table.......


Dressing table za chuma, ama fanicha za chuma ni imara sana sana...., nikizungumzia kwa upande wa dressing table, design ziko nyingi..... ni wewe tu unahitaji ipi, hizi ni baadhi tuu, na tunachokifanya ni tuna buni design mpya sisi wenyewe......... hii ikiwa ni moja wapo...

dresing table ikiwa na ngazi mbili kama inavyoonekana hapo ni tshs.280,000/- na ikiwa na ngazi moja ni tshs. 250,000/- na hii ni pamoja na kiti chake na mto wake..

karibuni sana....

2 comments:

  1. Nimeipenda hiyo dressing table,nitaipataje,nipo Arusha

    ReplyDelete
  2. This is an amazing collection of antique dressing tables you have just posted, it would look fabulous after it placed in one's bedroom.

    ReplyDelete