Thursday, August 9, 2012

Chumba cha watoto....vitanda vina ukubwa wa 3 by 6....

 Tuliweka pazia, chumba chao kina madirisha 2....watoto ni wa kiume.....miaka yao ni wa kwanza ana 2 yrs. na wa pili ana miezi   3 sasa....
 Kitanda hiki ni cha mtoto wa miezi 3, tulimuewekea hizi chuma pembeni ili kuzuia asidondoke....
 vitanda vinavyoonekana kwa mbali......magodoro yatawekwa na yeye mteja, alikua hajanunua bado...
Pazia kwa mbali na vitanda.... chumba kilipendeza .....

nawatakia kila la kheri mteja wangu,,,,na familia yake....

2 comments:

  1. Hii nimeipenda kweli na inapendeza hata kwa mpangilio!kumbe hata vitanda vya futi ndogo mnatengeneza!safi sana na Hongera sanaa mdada.

    ReplyDelete
  2. Nimependa sana hivi vitanda vya watoto sijui unauza kiasi gani kwa kimoja. na ningependa utoe bei bila neti na kikiwa na neti. kazi yako ni nzuri sana hongera na Mungu akupe nguvu zaidi na ubunifu zaidi.

    ReplyDelete