Monday, August 6, 2012

Hii ilikua ni zawadi ya send off..... siku ya tarehe 3/8/2012

 Hii ndio zawadi ya send off aliyopewa mtarajiwa siku hiyo.....kama inavyoonekana, ni kitanda cha 4 poster, neti, stool na dressing table ambavyo tulivitengeneza sisi homez deco... godoro, mashuka, na kapeti walivileta wao wenyewe wana kamati......


 Picha hapo juu tukitandika kitanda, na kukiweka tayari, tulishirikiana kuweka mambo sawa, na tuliwahisha zawadi kwa muda walioniambia....

 Hapo juu, nikiwa nawasubiria walete mashuka tuweze kutandika na niwakabidhi.....

 Hapa nikifunga neti kwenye miguu ya kitanda......

 neti ipachikwa kwenye kitanda...ni rahisi kuwekwa.......
 Dressing table.....
 Seti ya harusi........


Tukiandaa seti ya zawadi ukumbini....

Napenda kuwatakia kila la kheri maharusi katika maisha yao ya ndoa.......

Tunapenda kuwakaribisha wote ambao wangependa kuwapa zawadi maharusi ya fanicha za chuma.... karibu, na tuwasiliane kwa mahitaji hayo....

4 comments:

  1. Hongera kwa kazi nzuri

    ReplyDelete
  2. Mie nataka neti kama hiyo, utaratibu wa kuipata unakuwa je? na ni shilingi ngapi kwa neti ya kitanda cha tano kwa sita?

    ReplyDelete
  3. ofisi yako ndio iko mbezi tank bovu karibia na wanakoweka sofa? i am so interested with this things jamani nitashindwa bei tu.

    ReplyDelete