Thursday, June 14, 2012

Round About near Hindumandal Hospital.... Dar
Jana kwenye mizunguko yangu, nilipita maeneo haya, kwa kweli nilivutiwa sana na mazingira ya hapa..... Kweli Dar tukiamua tunaweza...

Ubunifu huu niliupenda sana hasa ukuzingatia kua Dar maji ni shida, sasa kwa waiobuni hivi nawapa hongera sana...

Hayo mawe yanatokea hapa hapa kwetu Tanzania. yako Morogoro....


Hongereni sana Kwa wahusika........No comments:

Post a Comment