Tuesday, June 12, 2012

Homez Deco - Kreative Homez....... Kazi yetu.... Site ilikua kigamboni.....


Haya nikiwa kwenye kazi yangu, kwa furaha sana sana.... asante mteja wangu kwa kufurahia kazi yangu......Tunaleta mpaka nyumbani...... Karibuni.....

Dressing table......

Fundi akitayarisha vioo, vya kuweka kwenye dressing table na side table...... yaani kitanda kilipendeza sana, sijisifii ili nyumba ilipendeza,


Hiki ni four poster, kitanda

Chaga zikiwekwa, wengi wamekua wakiuliza chaga zinakua ni zipi? jibu ni kua, chaga ni za mbao, nani imara sana vitanda hivi, ......
Mafundi wakifunga vitanda...

5 comments:

 1. KAZI NZURI MPENZI HONGERA SANA NATAMANI NIKUPE ODA NA MIMI SEMA SIPO DAR NIKO MWANZA HUKU ALL IN ALL KAZI NZURI I LIKE IT MAMIIII.

  ReplyDelete
 2. naona imependeza sana nimeipenda, dressing table kama hiyo ni sh ngapi ? na kitanda je?

  ReplyDelete
 3. I love chuma. Yani nachanganyikiwaga nikiona funtre nzuri zenye finishing ya ukweli. Keep it up!!! Ruth wa Arusha.

  ReplyDelete
 4. how much is the bed n dressing table,n how long does it take, ril like dem.

  ReplyDelete
 5. Kazi nzuri sana mwanadada!!!

  ReplyDelete