Tuesday, December 27, 2011

X-mass Ilikuaje?

Kwa upande wangu ilikua nzuri, nilikua tuu nyumbani, na kutafakari mambo mengi ambayo nimeyapanga kwa mwakani, na ninaendelea kumuomba mungu anisaidie katika kila jambo nililopanga, na uzima na uhai, kwani kuna wengi waliotaka kuiona leo ila hawakufika, hivyo mungu yuko nami na familia yangu, namshukuru kwa kila jambo.

Sylvia

No comments:

Post a Comment