Sunday, December 18, 2011

Shilole's show @ Nyumbani Lounge.........Ndo tunafunga mwaka-----------

I love my self, look at my skin..... hapa hakuna mkorogooo, ni shear butter, vaseline, na shear scrub.......jamani hakuna kitu kinachoniboa kama kupiga picha then unaonekana makeup ilimopita, jua makeup no.yako and that's it.

To all the single mothers....just love your self, work hard, and always pray to God to help you to raise your kid/kids.

kwa kweli kama mtakubaliana nami, kama sijakuambia nina mtoto wa miezi 10, si unaweza usijue ka nina mtoto.......(fanya mazoezi, kula vizuri, punguza stress zisizo na maana, pumzika vizuri, na kunywa maji ya kutosha + matunda na mboga za majani ) 


with friends,,,, Nashukuru Mungu nimeweza kurudi kwenye shape yangu baada ya kujifungua, 


twacheza mduara, wa kwanza ni Gear Habib, wa tatu ni Dina Marios, na wa mwisho ni mimi......

Wanenguaji wa shilole....Up coming musician......

Dina & I

Mamaaa shilole mzigoniii

Hapa sasa walipambanishwa kucheza, ilikua ni wale wenye high heels........ ilikua bombaaaaa

tukiserebukaaaa baada ya washindi kupatikana


walipatikana washindi, na wakikabidhiwa zawadi zao kutoka savana beer...

Mduaraaaaa

No comments:

Post a Comment