Tuesday, August 10, 2010

IT IS SO SAD TO KNOW THAT THERE ARE SOME OF US THEY DON'T THINK B4 THEY ACT. SHAME ON YOUUUUUUUU........

Habari za muda ndugu wadau, Nashukuru sana kwa wale waliokuwa wakinijulia hali mara kwa mara katika kipindi nilichokua kimya.

Kinachonisikitisha ni kua kuna baadhi ya watu ambao nahisi upeo wao wa kufikiri ni mdogo na utaendelea kua mdogo.

Katika hali ya kiubinadamu na ya kikawaida na yakutumia akili tuuu, Blog hii hua inakua up to date mara kwa mara, lakini zimepita almost wiki 2 kama sio tatu sija update chochote. Sasa unashindwa kujiuliza what is wrong with the person?

Mtu mwenye akili timamu huwezi tuu ukatuma comments za kipuuzi bila kujua chanzo, Kwa kweeli inasikitisha sanaa, na nimesikitika sanaaa.

Naomba blog hii isifananishwe na blog zingine, most of the blogs zinahusu fashions etc.

Hizi ni baadhi ya comments nilizozipata;

1. Anonymous said... 
July 27, 2010 10:02 AM  

i u cant up todate ua blog achia nafasi wengine waanzishe unatia aibu 

2. Anonymous said... 
July 28, 2010 7:31 AM  

hi,,
hivi hujui unaboa siku hizi? yaani mi nilitegemea umeacha kazi umejiajiri utakuwa active kumbe imekuwa tofauti yaani unaboa blog siyo nzuri tena no picture no nini toka mfano toka urudi arusha nitaweka picha ni muda gani umepita? be active mama kifupi sijapenda hii hali yako nataka uendelee thats why nakueleza ukichukia shauri yako ni kwa faida yako.

Deliwe

3. it boring to veiw the same staff all the time, don u search new stuff ?

4. Anonymous said... 
August 10, 2010 12:45 AM  

please jaribu kuwa up to date kama blog nyingine cuz unaacha picha muda mrefu sana.tunahitaji vitu vipya ili tufungue blog yako everyday sawa kama tunavyofungua za akina zeze,tk,nuru the right and more.thnx

These are some of the comments ambazo nimezipata.

Naomba niwajibu kama ifuatavyo kabla sijatoa reasons za kua kimya.

Comment no. 1 

Naomba ujue kua kila mtu ana uwezo wa kuanzisha blog yake, kwa mimi kua kimya sio kwamba nime ziba nafasi ya watu wengine wasianzishe. Mimi nilikaa chini na nikafikiria kua ni vizuri ku share na wenzangu kuhusu mambo ya home decorations, so nikiamua kukaa kimya haikuhusu, ama nikiamua kuifunga blog yangu haikuhusu, na ni wewee ndie unaetia aibu, kwani sijui uko carne gani kwamba hujui kua blog ni mtu yeyoyote anaweza kuanzisha.... kama huna kazi useme usaidiewe na sio kuandika upuuzi.

Comment no. 2

Mi nadhani kidogo una hitilafu na huna chakufanya, ukiaangalia tuu kalenda yako itakueleza it's just two to three weeks sija update, kwa kwa alie na akili timamu lazima angegundua kua kuna hitilafu. Blog hii nimeianzisha kwa ajili ya kuelewesha jamii na muyafanyie kazi yale ambayo nimekuwa nikiwaelekeza, na si kuangalia tuuu picha kama unavyofanya wewe, maana unadhihirisha ni jinsi gani una kremisha picha. GROW UP MY DEAR NA SIO KULALAMIKA BILA SABABU.

Comment no. 3

Usikremishe tuuu kua ni lazima niweke picha za ku download kwenye internet, hazitakusaidia saanaa kaama ufikiriavyoo. Elewa kwa nza ndio uendeleee na vingine, 

Comment no. 4

Naomba kukufafanulia kua, sio blog zote zinafanana, na kila blog ina theme yake. Usifananishe blogs. Kimya kingi kina mshindo.

Najua kua siwezi kupendwa na watu wote, ila naomba ijulikane kua mimi ni binadamu na sio machine, kuna ugonjwa, kufiwa, etc. Yote hayo ni yakujiuliza kabla ya mtuu huujaanza kuandika utumbo, na ujinga. 

Next time think before you write anything to anyone.

REASON OF MY SILENT IS THAT, I'M EXPECTING TO BECOME A MOTHER. SO AS WE ALL KNOW THERE ARE MORNING SICKNESS ETC. AND IT'S JUST 8/8/2010, I WAS TAKING MY LAST INJECTION FOR MALARIA DOSE.

I AM HAPPY, AND THANKS TO ALL WHO WERE GIVING ME A CALL TO SEE WHY I WAS SO QUITE ALL THOSE DAYS, AND WISHING ME TO RECOVER VERY SOON. THANKS MY LORD.

BUT THIS DOESN'T MEAN I CAN'T WORK OR TRAVELL TO ANY REGION TO WORK, JUST GIVE ME A CALL AND WE DISCUSS THEN I WILL BE THERE IN YOUR REGION TO WORK.

Haya nyie wenye vihere here, vya kutuma ujinga na upuuzi, mtakua mmeelewa sababu sasa. Mimi ni binadamu na nina maisha yangu pia ya kuyaangalia.

4 comments:

 1. sio kwamba tunakuchukia, ila tunahitaji mapya, anaekuchukia hawezi kufungua blog yako, tena wenye chuki wangefurahia kimya chako kwa vile wangejua unapotea, but wanaolalamika wanakupenda

  ReplyDelete
 2. Kumbe ulikuwa umeolewa? Mbona harusi hatujasikia au ndio shake before use!!Kila la heri bidada.

  ReplyDelete
 3. Hey sylvia... cool down na zingatia usemi wa wahenga walopita "NEVER URGUE WITH A FOOL" nawe usije ukawa fool bureeee! hata mie nilikupigia simu na nilielewa kuwa unapokuwa na blog sio kazi yako kukaaa kwenye PC tuuu achana nao wasikutie pressure mummie take care and all the best... NA WOTE HAO HAWANA SHIDA WENYE SHIDA TWAJA DUKANI NA HUDUMA ZINAENDELEA KAMA KAWA ACHANAA NA HAO WANAOTAKA KUCOPY AND PASTE. BYE

  ReplyDelete
 4. u dont have to reply to those stupidity sylvia just move on,vizungu vyenyewe hawajui wameandika tuuu hapo juuu... we ladies know how u are going through now. morning sickness sio mchezo hata kazin watu wakizidiwa wanachukua leave for first three months, so worry not u will recover soon. achana na wajinga wasikupe pressure. wishing u a health life with the expected.... i wish to see her nursery i guess utaiweka soooo marvelous...

  ReplyDelete