Wednesday, July 21, 2010

Back From Arusha Town

Nashukuru Mungu nimerudi salama, na safari yangu ilikua ni nzuri, though Arusha ni baridi sana, kila mara ilikua ni kuvaa makoti na kuota moto. Nawashukuru na walioniita huko Arusha kwani tumefanya kazi nao vizuri na kwa ushirikiano. Kazi iliyonipeleka kule ni Kupaka rangi nyumba nzima, na rangi alikua amechagua yeye mwenyewe hivyo nilizikuta ziko tayari. 

Nawaaandalia picha.

NB: Ukinihitaji mkoa wowote nitakuja.

4 comments:

 1. i u cant up todate ua blog achia nafasi wengine waanzishe unatia aibu

  ReplyDelete
 2. hi,,
  hivi hujui unaboa siku hizi? yaani mi nilitegemea umeacha kazi umejiajiri utakuwa active kumbe imekuwa tofauti yaani unaboa blog siyo nzuri tena no picture no nini toka mfano toka urudi arusha nitaweka picha ni muda gani umepita? be active mama kifupi sijapenda hii hali yako nataka uendelee thats why nakueleza ukichukia shauri yako ni kwa faida yako.

  Deliwe

  ReplyDelete
 3. Hi! Silivia

  You took real long to update your blog funs wako tunavunjika moyo tunakuwa na hamu ya kuona kazi zako kila siku nifungua nakuta no updates!
  Jitahidi mpenzi usituvunje moyo...

  ReplyDelete
 4. jamani umerudi ndio unataka kuua blog mamie? mbona kimya sana, tangu july hamna mpya?

  ReplyDelete