Thursday, August 12, 2010

Arusha Work Photos,

Ndugu wadau napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha kua, sitaweza kuwawekea picha ya kazi ya Arusha kama nilivyoahidi, Sababu ni kua mteja mwenyewee ameomba picha za nyumba yake zisiwekwe kwenye blog, na kwa hilo basi nimeheshimu maamuzi yake.

Samahani sana kwa hilo.

1 comment:

  1. dear, wengine tukiona ndio tunatamani, nitumie basi jammyally@yahoo.com

    ReplyDelete