Thursday, June 3, 2010

Me in my office........

5 comments:

 1. hongera sana kwa kazi unayofanya...mimi ni mpz wa blog yako nahitaji sana maua nyumban kwangu rangi ya brown na cream ndo imetawala hm kwangu nitakupataje?
  asante sana
  Mdau

  ReplyDelete
 2. I like your blog ma dear hongera sanaaaaaaaaa tena sanaaa mdogo wangu. hebu niambie hiyo mito unauzaje? hivyo vipillow vya kwenye makochi nipe price na jee ni pamoja na foronya ama? na ukubwa jee?

  ReplyDelete
 3. very nice office - Mungu anabariki kazi zamikono yetu- Mungu akubariki dear!
  will call you when am ready with my house
  Maggie - Arusha

  ReplyDelete
 4. hongera mamiii

  but im getting comfuse
  wewe sio silvia? nakumbuka kusoma namtu kama wewe kama si olevel makongo sec basi muhimbili prim ar u the one

  ReplyDelete