Wednesday, June 16, 2010

Haya mawe niliambiwa yanapatikana Kigoma, naomba msaada kama kuna mtu anaweza kujua nityapataje pls tuwasiliane.a

3 comments:

  1. dah ata mie nayatafuta,umenipa mwanga ngoja niyasechi mana nipo kanda ya ziwa

    ReplyDelete
  2. uliyapata haya mawe?nami nipe njia ulotumia kama ulipata nayataka sana

    ReplyDelete
  3. Habari zenu Mimi mgeni humu lakini nimevutiwa na hii blog sana, so nimeona hii post ya mawe ingawa ya zamani, nimeona nitoe msaada. Mimi hupwnda sana kutembelea vijijini na jasa hupendelea mtoni. Hayo mawe yanapatikana mtoni. Nimefika kwny mito ya kama maeneo matatu hapa tz mawe hayo yapo. So next time u visit country side nenda mtoni

    ReplyDelete