Tuesday, June 22, 2010

Kitchen Design from a friend, Sophia, thanks a lot.


Hello Sylvia
 
Habazi za kazai, mimi ni mpenzi sana wa blog yako ya HOMEZ DECO, kila siku ni lazima niitembelee,nimefurahi sana kwa uamuzi wako wa kuwa mjasirimali, kweli that is my dream one day to quit this job. Wishing you all the best
 
Napenda sana articles na elimu mbali mbali unayotoa, nimeipenda. Hapa leo nina picha za kitchen, jamani kitchen zetu sisi wengi si nzuri, ni vizuri kushear hizi picha ze wenzetu.Nitajitadi kukutembelea dukani kwako.
 
 
Rgds
Christine

1 comment:

  1. mamy wangu ni nzuri lkn kwa wenye nyumba zao cc tulio rent nyumba tunashindwa kutengeneza sana kitchen zetu ningependa sana mtuletee na bidhaa zinazomove ili ukihama uweze kuondoka nazo will appreciate

    ReplyDelete