Hapa ni kabla na jinsi kulivyokuwa . Nilikaa na mwenye saloon, na tu ka discuss na nika mdadisi, tulichagua color samples nilizonazo, na nikajua nini anapenda na nini hapendi. Baada ya hapo ndipo nilipoanza kazi. Namshukuru sana kwa ushirikiano wake. kazi hii niliifanya mwishoni mwa mwezi wa tano. Nilipata ushirikiano mzuri na mwenye saloon, actualy ni jirani yangu hapa dukani kwangu.At last tulikuja kupata rangi ambazo yeye alizipenda na tulitumia rangi ya PURPLE, PINK NA GREEN UKUTANI, THEN FURNITURE ZIWE NI BLACK, ACCESSORIES WHITE AND SILVER AND BROWN. Kwa ndani, inavyoonekana, mchanganyiko wa rangi....Hii, ni sehemu ya ma drier kama inavyoonekana hapa ukuta nimepaka pinkHii ni sehemu ya kuoshea nywele kama inavyoonekana, ukuta ni pink na green.Huu ni mlango wa kungilia hapo karibu na kabati, then kama inavyoonekana ni viti na viooo, bila kusahau sony wega kwa juu, ukuta nimepaka purple. (basi kwa movie za kinaigeria huwa hatupitwi wenzenu jamani hhahahaha, joke)
If you have an office, house, etc and you need interior design, or interior decoration pls don't hesitate to call us and we will be there to do the work for you. Just dial 0713 - 920 565.
Its Very very nice I like the way u mixed the colors, so about how much is it to paint the walls? V.
ReplyDeleteHi V, thank you very much, know when it comes to the price it depend with how long yr walls and room and how rough it is. so we have to come and take the meassurements.
ReplyDelete