Thursday, June 27, 2013
SMOOTH OVER SKIMMING PLASTER......ZINAPATIKANA HOMEZ DECO.......
Hizi ndio smoothover skimming plaster, katika ujazo wa lita 20, ama 35 kg....wateja wetu wameanza kuzitumia nani skimming plaster inatumika nje na ndani.....Tayari imeshachanganywa, 5 in 1 formulation.
1. Ni rahisi kutumia
2. Ni imara
3. Haihitaji prima
4. Rahisi kuipiga msasa
5. Inahimili hali yoyote ya hewa
Inasaidia rangi kua na finnishing nzuri.
METAL CURTAIN POLES.......AVAILABLE BY ORDER, AT HOMEZ DECO.............
Fundi aki drill ukuta ili ku fix curtain poles za chuma.......poles hizi ni imara, hazipindi, maana ni chuma kabisaaa
Hivi ndivyo inavyoonekana baada ya ku fix curtain poles...hii ndio set nzima
Labels:
Curtains
Wednesday, June 26, 2013
MORE PILLOWS & PILLOW CASES.....DECORATIVE PILLOWS....AVAILABLE @ HOMEZ DECO.....
Mito na foronya hii unaweza kuweka kwenye sofa lako na likapendeza bila kutumia gharama na likabadilika na kupendeza....
hapa nimesha zipanga jinsi ya kuweka kwenye sofa lako na likapendeza......
Labels:
Interior
MALI MPYA....IMETENGENEZWA NA HOMEZ DECO.....
Tunapenda kuwafahamisha wadau wetu na wateja wetu wote, kua Homez Deco sasa tunatengeneza bidhaa zetu wenyewe, na zina lebo zetu wenyewe.
Labels:
Interior
UJIO WA MRS. JOSSYANNE TANZANIA......KUANZIA KATIKATI YA MWEZI WA SABA 2013.....
Homez Deco inapenda kuwafahamisha wadau wote kua Mrs. Jossayanne atakuja Tanzania akitokea Marekani anakoishi na kufanyia kazi zake za Landscaping na Gardening.
Atakuja huku kwa muda wa mwezi mmoja, na akiwa hapa atafanya kazi kwa wale watakaomuhitaji, kama ni ushauri, kufanyiwa kazi etc....
Tunaomba kutangaza rasmi kua tafanya kazi kwa appointment tuu.....Tunaomba kama utamuhitaji wasiliana nasi kwa namba za simu ama email hizi hapo chini, ili uweke appointment.
Kutakua na site visit ambayo ni shs. 50,000/- hii ni usafiri, na muda wake......utahitajika kulipia ili tuweze kua na uhakika na appointment yako ndugu mteja wetu.
Hela haitarudishwa, endapo utachelewa, ama ku cancel kwa muda mchache.
Kwa atakaye cancel tutakata hela ya usumbufu shs. 25,000/-
Tumeweka mashart maana tuko serious na muda, na yeye yuko kwa muda mchache, sasa hatutaki kupoteza muda......naomba tujitahidi sana kwenda na muda ambao tutakua tumepangiana.....maana kuna muda mwingine unaweza kukubaliana na mtu, then ukifika muda unampigia, anakua hapokei, ama kazima simu kwa muda mrefu kiasi, huyo kwa kweli tutajumuisha kua ame cancel ..........
Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0713 - 920565 ama email sylvianamoyo@yahoo.com
Karibuni sana.......
Labels:
Gardening
Subscribe to:
Posts (Atom)

