Friday, August 10, 2012

Dressing table.......


Dressing table za chuma, ama fanicha za chuma ni imara sana sana...., nikizungumzia kwa upande wa dressing table, design ziko nyingi..... ni wewe tu unahitaji ipi, hizi ni baadhi tuu, na tunachokifanya ni tuna buni design mpya sisi wenyewe......... hii ikiwa ni moja wapo...

dresing table ikiwa na ngazi mbili kama inavyoonekana hapo ni tshs.280,000/- na ikiwa na ngazi moja ni tshs. 250,000/- na hii ni pamoja na kiti chake na mto wake..

karibuni sana....

Neti

Bei ya neti kwa kitanda cha 5 by 6 ni tshs.100,000/-
kitanda cha 6 by 6 ni tshs. 150,000/-

karibuni...

Thursday, August 9, 2012

Chumba cha watoto....vitanda vina ukubwa wa 3 by 6....

 Tuliweka pazia, chumba chao kina madirisha 2....watoto ni wa kiume.....miaka yao ni wa kwanza ana 2 yrs. na wa pili ana miezi   3 sasa....
 Kitanda hiki ni cha mtoto wa miezi 3, tulimuewekea hizi chuma pembeni ili kuzuia asidondoke....
 vitanda vinavyoonekana kwa mbali......magodoro yatawekwa na yeye mteja, alikua hajanunua bado...
Pazia kwa mbali na vitanda.... chumba kilipendeza .....

nawatakia kila la kheri mteja wangu,,,,na familia yake....

Introducing: Facebook page & Twitter account

I would like to take this moment introducing my new FACEBOOK PAGE and TWITTER ACCOUNT.

Itakua rahisi kwa wadau kuweza kupata updates zaangu kwenye mitandao ya kijamii, unachotakiwa kufanya ni ku click LIKE kwenye facebook na FOLLOW kwa twitter, ama kwenda moja kwa moja kwenye kurasa zangu.

FACEBOOK: http://www.facebook.com/HomezDeco

TWITTER: https://twitter.com/sylvianamoyo

karibuni sana......

Mabadiliko ya website/blog yanaendelea....

Habari ndugu wadau.....

napenda kuwaarifu kua, mabadiliko yanaendelea na hayato athiri shughuli zetu za kila siku.....nikiwa namaana ya kutoifunga... tutaendelea kama kawaida...

tunakaribisha ushauri,

nawashukuru wote.

Tuesday, August 7, 2012

Introducing Roman Blind.....

 Roman Blind, ikiwa tayari... hapa ni jikoni... dirisha ziko 2......
 Unaivuta kamba mpaka utakapotaka urefu ufikie....




 tuki set..... roman blind jikoni.....kwa kweli jiko lilipendeza sana. kulikua hakuna pazia lolote, ndio tuliweka sie hizi blind...


 Ofisini, tukiandaa blind, tulishona, na kuiandaaa.....na kwenda kuifunga...
 tuki jaribu, baada ya kuifunga...
Roman blind ikirekebishwa.... kabla ya kumkabidhi mwenye nyumba.....



Roman Blind, ni aina ya pazia, ambayo ni kitambaa tuu hivi hivi vya pazia,, ila kwa hii ina machine maaluum kwa ajili yake,,, na ina kamba kwa pembeni, sasa wewe kazi yako ni kuvuta mpaka pale utakapoona ufupi unaoutaka, ni imara, na ni nzuri...

Inatumika chumba chochote.. kile....
hii sasa malipo yake ni kwa square meter... sasa inategemea na ukubwa wa dirisha lako. na mwisho wa kutengeneza blind ni kwenye madirisha ya mita 2 upana...ndio  inapendeza na kukaa vizuri, ikizidi na kua ni mita 3 upana wa dirisha. basi tunaweka blind 2...

Tunakushuru mteja wetu.. na tunakutakiaa kila la kheri katika kazi zako....


Karibuni sana...

Monday, August 6, 2012

Hii ilikua ni zawadi ya send off..... siku ya tarehe 3/8/2012

 Hii ndio zawadi ya send off aliyopewa mtarajiwa siku hiyo.....kama inavyoonekana, ni kitanda cha 4 poster, neti, stool na dressing table ambavyo tulivitengeneza sisi homez deco... godoro, mashuka, na kapeti walivileta wao wenyewe wana kamati......


 Picha hapo juu tukitandika kitanda, na kukiweka tayari, tulishirikiana kuweka mambo sawa, na tuliwahisha zawadi kwa muda walioniambia....

 Hapo juu, nikiwa nawasubiria walete mashuka tuweze kutandika na niwakabidhi.....

 Hapa nikifunga neti kwenye miguu ya kitanda......

 neti ipachikwa kwenye kitanda...ni rahisi kuwekwa.......
 Dressing table.....
 Seti ya harusi........


Tukiandaa seti ya zawadi ukumbini....

Napenda kuwatakia kila la kheri maharusi katika maisha yao ya ndoa.......

Tunapenda kuwakaribisha wote ambao wangependa kuwapa zawadi maharusi ya fanicha za chuma.... karibu, na tuwasiliane kwa mahitaji hayo....