Friday, April 4, 2014

COLOR COMBO...SOFA.....L-SHAPE.....FOR 8-10 PEOPLE...... Pamoja na kua kimya....lakini kazi ilikua inaendelea na tunaendelea na kazi kama kawaida....homez deco tunatengeneza sofa......za aina yoyote...na tunatoa ushauri kulingana na livin8g room yako ilivyo...


 sofa ikiwa workshop....ikitengenezwa na kufanyiwa setup kabla ya kupelekwa kwa mteja....
 ukiangalia picha hizi utaona sofa iko katika hali nzuri naya kupendeza...kulingana na rangi zilizotumika hapo....
 Tunapenda kuwakaribisha wote kwa mahitaji ya sofa....na tutawaletea catalogues mbali mbali....
umakini wetu...na kupenda kazi yetu ...juhudi yetu...ndio mafanikio yetu.....

1 comment:

  1. nimeipenda hiyo coffe table, je ina stuli zake au ipo yenyewe? mtu akihitaji ataipataje?
    nipo Arusha. Asante.

    ReplyDelete