Wednesday, April 23, 2014

LAUNDRY ROOM.........

 Siku hizi kwenye nyumba baadhi ninazoenda....kufanya kazi wenye nyumba wamekua wakitenga chumba cha kufulia.....nje ya nyumba ama ndani karibu na jikoni......kulingana na wanavyotaka .....

 kwa kweli tumepiga hatua katika hili.....lakini kinachotukwamisha...ni je ni arrange vipi hii laundry room yangu......sasa hizi ni baadhi ya desins ya jinsi gani unaweza kupangilia....
 na tunaona machine 2....moja ni ya kufulia na ingine ni ya kukaushia...sasa inategemea na were je chumba chako kinatosha kuweka machine 2...na usilazimishe....kama hakitoshi......weka machine moja na ukisha fua...anika nguo zako kwenye kamba.....nje.....



No comments:

Post a Comment