Monday, April 28, 2014

MADIRISHA KWENYE NGAZI.....

Wadau wangu....nimekutana na hii design ya dirisha  katika kazi zangu....na nafikiri hii ni mara ya 2 ama ya 3 kama sikosei....dirisha zina kua ndogo ndogo....

Kwa kweli mimi binafsi sielewi maana ya kuweka hivi vidirisha.......kua mwanga upite ama hewa..ama ni urembo....na unawekaje dirisha chini namna hiyo......

Hapo kwa haraka haraka ni kosa la nani....

Kila mara naleta wenzetu wanafanyaje kwenhe ngazi zao.....nyumba zao etc.....

Naomba kusisitiza...ukisha chorewa ramani kabla ya kujenga tafadhali tafuta mtu wa interio akuchoree kwenye 3d...mpe ramani yako....na makosa utayaona na kurekebisha kwenye computer na utaokoa vingi kwa kweli.....

No comments:

Post a Comment