Thursday, April 24, 2014

UMESHAWAHI KUFIKIRIA KUA NA WALK IN CLOSET...KWENYE NYUMBA YAKO.......
Siku hizi tunajitahidi kujenga nyumba za kisasa....na zinapendeza kwa kweli....kuna mambo tuu madogo madogo ya kuongezea..nimeona leo tuongelee hii walkinn closet....


Hiki ni chumba cha kuweka nguona kuvalia pia...na sio lazima kiwe kikubwa....ni kulingana na matumizi yako...na husaidia chumba chako cha master bedroom kukamilika na kua na nafasi ya kutosha kuweka vitu vingine...


 Kwa wale wanaotarajia kujenga nyumba zao...sio mbaya ukafikiria kua na walk in closet...badala ya kuwema makabati...kwenye chumba unacholala......hii itakusaidia kua na nafasi kwenye chumba chako......
 sio lazima kiwe kikubwa....ni kulingana na matumizi yako.....na mara nyingi kinakua ndani ya chumba cha master bedroom au karibu na master bedroom.....na inaweza ikawa ni kwa ajili yako kama uko single ama ni kwa ajili ya couple......
 walk in closet....ni unaweka kuanzia nguo viatu make ups.....etc....na pia inaweza na itapendeza ikawa ni dressing room pia.....2 comments:

  1. Nice room, thanks for hosting & this wonderful idea too. home decor.

    ReplyDelete
  2. thanx nataka niwekee hii kwenye nyumba yangu

    ReplyDelete