Saturday, November 16, 2013

SOFA SET INAUZWA...............INA MWEZI MMOJA TUU TOKEA INUNULIWE.....NI MPYA KABISAAAAAAA


 Sofa hii inauzwa kwa bei ya 2,900,000/-    ilinunuliwa Orca Deco, sasa anaeuza kwa bahati nzuri anahamishwa kikazi nje ya nchi........sofa iko katika hali nzuri kama inavyoonekana...na tokea ainunue amekaa nayo mwezi mmoja tuuuu.Color ni Dark brown, purple na cream....


Ni sofa ya watu 3,2,1......
Kwa mahitaji ya sofa hiiii wasiliana nasi kwa namba 0713 - 920565.......bei ni hiyoooooooo..........tayari imeshashushwa.....Kwa mahitaji yako ya kuuza vitu vya majumbani ambavyo viko katika hali nzuri wasiliananasi....Homez Deco.....0713-920565 ama email: sylvianamoyo@yahoo.com

No comments:

Post a Comment