Monday, November 18, 2013

KAZI YA KUWEKA TILES NYUMBA IKO KIBAHA......

 Homez deco umepata kazi katika nyumba hii iliyoko kibaha ya finnishing ya nyumba nzima mpaka ikamilike.
 Tuliaanza kwa kufanya window shopping na mteja ya tiles katika maduka na tukaipata hii design ambapo wote tulikubaliana tuiweke hii aina ya tiles kwa ushauri wangu.
 Ukiangalia kwa mbali hatujaweka scarting maana tutaweka ya mbao nyunba nzima.

Hebu fikiria nyumba hii ile scarting ya mbao tukiweka nyumba itanogaje.

Nyumba hii imeanza kujengwa tokea mwaka 2012. Na mteja wangu yuko makini kwenye swala la finnishing na tokea kwenye ujenzi kwa ujumla. Na ndivyo inavyotakiwa iwe. La sivyo kwa haraka haraka mnooo. Nyumba huaribika kwa finnishing mbovu. Na sisemi uchelewe sanaaaaa. Ni wewe mwebeyewe na uamuzi wako.


Nashauri utumie wataalamu kwani tutakushuri vizuri kadri tunavyoelekea katika kila stage.

Wakati tunaweka tiles mafundi walikua 7 na niliwagawanyisha kwenye kazi. Na ilibidi walale huko huko site. Ilituchukua siku 5 kumaliza kuweka tiles. Na kuna naeneo machache sana ambapo ni vyooni na jikoni na kumalizia vibaraza kidigo.

Na siku ya leo tuko njiani tunatokea kibaha . Tunakwenda kuangalia tilea za vyooni. Jikoni na mabomba na masink.

Hatua itakayofuata ni kufanya skimming  nyumba nzima ndani na nje na kuweka tiles sehemu zilizobaki.


Nawakatibisha wote kwa mahitaji ya kufanyiwa finnishing na homez deco.

Tutaendelea kuwaonyesha nini kunaendelea...

2 comments:

  1. KUPANGA RANGI NYUMBA NI BEI GANI? MFANO NYUMBA YA VYUMA VITATU, SEBULE JIKO, VYOO 3 NA STOO NA DINING ROOM, KWA MAKADIRIO TU KWANI UKUBWA WA NYUMBA HASA NDIO UNADETERMINE BEI HALISI. NNACHOTAKA KUJUA NI MFANO MILIONI MOJA HADI MBILI, ETC, ILI HATA NIKIKUITA NAJUA NAJIANDAA NA KIASI KISICHOPUNGUA HAPO, SIO NAKUITA N LAKIMBILI YANGU UNANIAMBIA LAKI NANE, NTASUBIRI MWAKA MMOJA TENA KUIPATA, LOL!

    ReplyDelete
  2. TUNAOMBA ONGEZA PICHA NAUTUAMBIE INAVYUMBA VINGAPI?

    ReplyDelete