Friday, September 24, 2010

Mom to be...... (this is me during my second trimester.Still single)







Namshuku mungu kwa yote aliyonitendea maishani mwangu, ninafuraha isiyokifani kuja kuitwa mama, na kila siku namuomba mungu anilinde na kuniepusha, na pia niweze kukabiliana na matatizo yoyote yatakayojitokeza katika kipindi hiki, na cha kumlea mtoto wangu.

Nawashukuru wote mnaoniombea mema. Sasa kazi inafanyika bila wasiwasi wasi kwani kuumwa uumwa nimeshapita hicho kipindi.

(Nimejaribu ku pose, maana ninaanda albam langu ya pictures during my pregnancy, duh nimeongezeka uzito kwa kweli lol.

Wish u all the best


15 comments:

  1. kwa nini unasema stil single while youre pregnant.

    Pole hasa kwa kipindi kama hicho unahitaji kuwa karibu sana na mwenzi wako. Jipe moyo kwani 2nakuombea

    ReplyDelete
  2. HOngera!! and all the best my dear, Mungu yuko nawe siku zote

    ReplyDelete
  3. asanteni sana, jamani ni kweli niko pregnant and still single, that means I will be a single mum, which I am proud of it. siku njema.

    ReplyDelete
  4. At leat u say my dear, mimi kila siku nikisema kwetu I want to be a single mother wananishambulia kwa maneno....! lOl! I got my backups, congratulation swty.....

    ReplyDelete
  5. Hi Maggy, asante sana, usijali wakikushambulia, ila inabidi ujue wewee unataka nini na unataka uishije thats all.

    ReplyDelete
  6. That the happy life. I think cause mimi nimeolewa na ninaishi na mume wangu but everyday headache nafurahia sana maisha yako uliyoyachagua. God be with you wanaume ni wasumbufu sana na si waaminifu japokuwa si wote. Most of them na wanarudisha maendeleo ya familia nyuma hasa wakigundua mwanamke ni mtafutaji.

    ReplyDelete
  7. congratulation Dada wa Homes Deco samahani naomba kukusahihisha kidogo na sio kwa mabaya ni naona uli mean second Trimester? maan najua kwenye pregnancy wanahesabia Trimester(Miezi mitatu mitatau. i.e first trimester ni mieazi mitatu ya kwanza, second Trimester ni miezi mitatu ya pili na third trimester ni miezi mitatu ya mwisho..) Anyways nakutatia kila la kheri maan decision ulio ifanya ya kuwa single mother ni la kijasiri saana!

    ReplyDelete
  8. Mmh wenzangu hiyo ya kuwa single parent mbona ya kawaida tu.mie mwenyewe ni single parent na dogo anakuwa chap chap kwa nguvu za mama na Mwenyezi Mungu.Wanaume wengi wanakwepa majukumu ya kulea watoto.
    Hongera sana Dear Nakuombea mema kipindi cha kujifungua na kulea.Maana ndo uwa kinakuwa kigumu kidogo.

    ReplyDelete
  9. kila mtu na mpangilio wake wala usijali kuwa single mother, safi dear mdau arusha

    ReplyDelete
  10. WOW!!! MAMA KIJACHOOO ......NIMEFURAHI KUKUONA JAMANI MBONA KIMYA AU UMEHAMA MTAANI KWETU?? MISS YOU NIMEFURAHI KUKUONA UMEPENDEZAAAA......kiss ure bell...upite Iqra amkiss mtoto aje shost yakeee

    ReplyDelete
  11. Hi all, nashukuru kwa kunitakia mema, na namshukuru mungu mpaka sasa niko okay, asante kwa kunisahihisha wala hujakosea, si unajua hii ni lugha ya wenzetu na mimi hua ninakubali kusahihishwa.

    Ni kweli kila mtu na mpangilio wake, hivi sijui kwanini baadhi yao wanakimbia majukumu jamani lol, halafu mtoto akikua unamuona huyo anakuja....... tena bila aibu lol....

    Shamim, my dear nimehama nina kama wiki 2 tokea nihame, jamani msalimu Iqra, ntakuja kumuona, kiss her for me, asanteeee.

    ReplyDelete
  12. Hongera mpenzi,na mungu kweli akutangulie sana,kweli is better muda huu wanawake tuamke koz si kama hatuwezi tunaweza ila watu wanasema aibu kuzaa bila kuwa na mume,ila sijaona hiyo aibu iko wapi,koz huwezi kuishi na mtu pia alinaye kupa stress kila siku,me nataka pia kuwa single parent basi koz sidhani kama nitadhurika.thanks my dear kwa mfano mzuri na ukweli uliotupa koz pia watu huwa hawapendi kuwa wazi.

    ReplyDelete
  13. wajameni kuwa single parent kunataka maandalizi ya kutosha, kuanzia ya kisaikolojia mpaka ya kifedha. ukishaliweza hilo basi utamudu kuwa single parent. lakini ukiona huwezi hayo maandalizi basi badilisha msimamo

    ReplyDelete
  14. umpendeza sana na hilo tumbo mpaka raha, me pia ni mama mtarajiwa (4 months pregn.)so nimeipenda sana hy gauni...umeinunua wapi mpenz!! am dying to wear it!!!...si unajua mtu ukiwa na hiyo hali ukitamani kitu ka inataka kutoka vile mpaka ukipate kwikwikwikwi!!

    ReplyDelete
  15. I feel very sorry for you dear, no matter what, a child should be with its both parents, jitahidi uishi kiroho zaidi, Dunia sio kama unavyofikiria, think twice, unless the father doesnt care about the baby but if in the future you get someone else, dont hesitate to get married and by the way, stop showing off your status of pregnancy, its not a good thing to do, wish you luck

    ReplyDelete