Monday, September 27, 2010

Homez Deco Work (kazi ilikua ni kubadilisha mapazia mengine ili jiko liwe na bright colors)

Hili ndilo pazia la jikoni hapo juu baada ya kubadilisha, kama unavyoona lina bright colors, as we all know ni kua wengi wetu tunapenda sana green color kwa jikoni, inapendeza sanaaaa. Na mapazia ya jikoni hayatakiwi kua na pazia nyepesi ama shear kwa wenzetu wanavyoyaita, na wala hayatakiwi kua na lining, maana jikoni kuna joto sasa unavyoweka lining ama shear basi joto huzidi jikoni. Na design za jikoni mara nyingi hua ni simple tuuuu. 

Pazia hili ni la dinning, lenyewe tulipendekeza liwe fupi, kwa kua lisiweze kusumbua wakati wa kuvuta kiti wakati wa kukaa. Rangi zake zimepooza.
Fundi wetu wa homez deco akibadilisha mapaziaNo comments:

Post a Comment