Friday, September 17, 2010

Homez deco work (It's a display at our shop)Homes Deco - Kreative homez inayo furaha kuwakaribisha dukani, kwa mahitaji yako ya mapazia, furniture arrangment, decorations, interior design, land scaping & gardening na ushauri.  Bei zetu ni za kawaida. Duka liko kinondoni studio trafic lights kama unatokea mwenge upande wa kulia kwenye service road utaona bango letu.karibuni sana.

1 comment:

  1. I like ur design its really beautiful.. please give me contact number.

    ReplyDelete