Thursday, September 30, 2010

Kuna sehemu inayokuvutia nyumbani kwako? Kama ipo tunakaribisha utumie picha tuweze ku share wote.

Homez Deco - Kreative Homez, inawakaribisha wote, mtutumie picha za sehemu ya nyumba yako ambayo unaipenda ili tuweze ku share na wadau wengine. Usitaje ni sehemu gani ila mkoa inatosha kabisa kutumbia, na wala jina pia hatutotaja, mpaka kwa ridhaa yako. Na kama kutahitajika marekebisho nitatoa ushauri wa bure kupitia blog hii yetu.  Karibuni


From,

Sylvia - Director Homez Deco - Kreative Homez

No comments:

Post a Comment