Tuesday, June 22, 2010

Kitchen Design from a friend, Sophia, thanks a lot.






Hello Sylvia
 
Habazi za kazai, mimi ni mpenzi sana wa blog yako ya HOMEZ DECO, kila siku ni lazima niitembelee,nimefurahi sana kwa uamuzi wako wa kuwa mjasirimali, kweli that is my dream one day to quit this job. Wishing you all the best
 
Napenda sana articles na elimu mbali mbali unayotoa, nimeipenda. Hapa leo nina picha za kitchen, jamani kitchen zetu sisi wengi si nzuri, ni vizuri kushear hizi picha ze wenzetu.Nitajitadi kukutembelea dukani kwako.
 
 
Rgds
Christine

Wednesday, June 16, 2010

Bado unalipenda sofa lako na limechakaa kitambaa?

Kwa mahitaji ya kurepea sofas, za vitambaa, sasa Homez Deco tuna repea sofas, karibu kwa maswali zaidi tuwasiliane.

Haya mawe niliambiwa yanapatikana Kigoma, naomba msaada kama kuna mtu anaweza kujua nityapataje pls tuwasiliane.a

Ulishawahi kufikiria Kutengeneza Uani kwako?

Siku zote hua tunatengeneza mbele ya nyumba zetu, ndani, ila tunasahau sana uani, huku wengi wetu ndio tunafikiri ni sehemu ya kuficha mauchafu yetu, 

Naomba niwajulishe kuwa hayo mawazo ni potofu, hakuna sehemu kwenye nyumba zetu ndio upange ni sehemu ya kuficha uchafu. Kumbuka kunawengine wana majiko ya nje, nguo tunaanikia huko, watoto wanacheza huko etc. 

Sasa basi tuwe tunakumbuka kusafisha na kuweka maeneo haya salama na pasafi.