Wednesday, August 20, 2014

NEAST STOOLS.....AND DECOR....


 Hizi ni stools... za mbao...tulizozitengeneza sisi home decor...unaweza ziweka kwenye kona sitting room... ama pembeni ya sofa lako.....
 Ukiziwekea decoration juu... zinapendeza zaidi...hii ni mifano tuu..na stools hizi husaidia sana ku save kama unawageni wengi... na pia ni decoration na hu save space...

Zinapatikana homez deco ....karibuni

3 comments:

  1. Dada hongera vitu vyako vizuri sana.ila pliz tunaomba ukiwa unaweka utuwekee na bei kabisa ya vitu

    ReplyDelete
  2. seems too much creative Loved your work,Keep up the good work

    ReplyDelete
  3. Good job. Its really looking too good. Most of people are looking for your more updates. Keep them update.

    ReplyDelete