Wednesday, August 27, 2014

KIOO NA PICHA ZA UKUTANI ZIKIWA ZIMEFIKA KWA MTEJA.....

Picha za ukutani zikiwa nyumbani kwa mteja wetu.. aliweka kwenye korido yake.....ukiingii kutoka mlango wa mbele unakutana nazo....
Tujitahidi kuta zetu tusiziache wazi bila kuweka picha za ukutani kwani zinaleta mvuto zaidi.
Kioo pia kinamvuto wake hapo...kioo kikiwa ukutani. ....na kuna saa ya ukutani pia....
Kioo hiki ndicho kilichobaki....waweza weka sitting room. .ama dinning room ama bedroom ama ....korido. .na kikapendeza.....

Tuwasiliane kwa mahitaji ya home decorations. ... na ushauri....0713920565...

No comments:

Post a Comment