Wednesday, August 13, 2014

DINNING TABLE YA MNINGA......IMETENGENEZWA NA HOMEZDECO. ...



 Meza hii kama inavyoonekana ni kazi yetu homez deco. .....ni meza ya viti 6... na mteja alitaka rangi hii off white....
 Hiyo ni stool....nayo ni mninga...

 Meza kwa mbali ikaonekana. ....
Tunakushukuru mteja wetu. ... sana....

No comments:

Post a Comment