Friday, June 20, 2014

UNA NGUO UNAZOZIPENDA SANAAA................ Hivi unajua kua unaweza ukawa na nguo zako unazozipenda...halafu zile rangi za nguo hizo ukazi apply nyumbani kwako.....kwenye chumba chochote kile.....Kucheza na rangi ni kazi na inahitaji muda na utulivu ili uweze kupata kile unachokihitaji katika nyumba yako.......sasa basi hii ni mojawapo ya wazo la kukusaidia katika uchaguzi wa rangi......

Hizi ni baadhi ya nguo na rangi zake.......najua wewe unazo nguo unazozipenda......basi sawa...haya zifanyie kazi........


Tunapatika pia instagram @homezdeco


No comments:

Post a Comment