Thursday, June 19, 2014

KWA MFANO ...UNAONAJE MOJAWAPO KATI YA HIZI IKAWA NI MASTER BEDROOM YAKO......Kuna msemo usemao .....kupanga kuchagua.........Hivi unajua ukiamua unaweza kua na masterbedroom nzuri tuu jamani....maana hakuna cha ajabu hapo......kila kitu kinajionyesha.....

 Niwewe tuu kuamua kua nataka kulala sehemu nzuri na safi...nayakuvutia....na asikudanyanye mtu....sehemu yako ya kulala ikiwa nzuri..hata kazi unaweza kufanya kwa juhudi na kwa ufanisi......mwili unatakiwa kupumzika sehemu safi na nzuri....na sio eti mpaka uwe na chumba kikubwa..ama ndio misemo yetu ...tunasubiria kua na nyumba zetu...ndio tulale pazuri jamani.....sasa kwa mfano ndio haujabahatika.....inakuaje...uendelee kukaa mahali...ndivyo hivo hivo tuu.......

Muonekano wako nje uendane na muonekano wako wa ndani ya nyumba yako jamani.....vaa yako nayo iendane basi naya ndani kwako basi......inawezekana ukiamua...na sio eti mpaka ukajifilisi.....ni kujipanga tuu...na kuamua.....


No comments:

Post a Comment