Friday, June 20, 2014

KORIDO ZETU.......
Ni wazo tuu.....kwenye korido za nyumba zetu.....mimi kwa mpaka sasa katika kazi yangu hii...wengi wetu tunajenga nyumba zikiwa na korido ndogo..kiasi kwamba huwezi kuiwekea decorations yoyote ile......

Swali ni kwamba viwanja vyetu ni vidogo....ama ni tunavyochorewa ramani hatutilii maanani ama tatizo ni nini?......

Tusaidiane katika hili.....

1 comment:

  1. Yani sisi tumejenga nyumba ina korido kubwa kiasi sasa kila mtu akienda kuangalia anasema korido kubwa sana ipunguzeni imechukua nafasi kubwa vora mngeongeza ukubwa wa vyumba. Nadhani ni mazoea ya watu wengi kujenga nyumba zenye korido ndogo bila kujua hata ikiwa kubwa kuna design unaweza kucheza nayo na pakapendeza sana.

    ReplyDelete