Tuesday, February 18, 2014

MITO YA MAKOCHI........

 Napenda kumshukuru mteja wangu huyu wa tabata....kwa kutuletea kazi yake....nasisi kama homez deco tumeifanya kwa uangalifu mkubwa na umakini........unaweza kusema ni kazi ndogo....ni kweli kazi sio kubwa sana.....ingawa watu hudharau pale unapompa bei ya kazi yake jamani kila siku nasema kizuri ni rahisi....na kibaya ni gharama.......

 Ukiangalia mito hii iko saba...na tumeitengeneza sisi mito ya ndani na kushona forinya zake......ukiangalia foronya kila moja inafanana na mwenzie hakuna hata moja inayopishana pattern. ......nikiwa na maana hiyo mistari....na finnishing yake ni nzuri....
Sio kua homez deco tunajisifia haoana.....kazi zetu ndio sifa yetu.....na kazi zetu zote za kushona hua tunaweka lebo zetu ......nitawaonyesha lebo zetu.......na hii hutusaidia kututangazaa.....

Endelea kua nasi uone mito hii imeenda kukaa wapi....

2 comments: