wakati natoka sala sala nilipitia hii njia ya chini ya jeshini, kabla hujafika nyumba za B.O.T kuna vijana wamejiajiri wanauza maua, miche, na mapambo ya kwenye garden, kama wanyama, ndege etc. Karibuni sana sana kwa mawasiliano nao wapigie simu namba 0654 - 368897 - Felix
Monday, May 30, 2011
Kwa mahitaji ya maua ya garden, kwa bei nzuri. fika ......
wakati natoka sala sala nilipitia hii njia ya chini ya jeshini, kabla hujafika nyumba za B.O.T kuna vijana wamejiajiri wanauza maua, miche, na mapambo ya kwenye garden, kama wanyama, ndege etc. Karibuni sana sana kwa mawasiliano nao wapigie simu namba 0654 - 368897 - Felix
Last week nilitembelea Sala sala - nikakutana na hii nyumba,
Nilipewa historia yake, na nikaambiwa kuwa ilianza kujengwa tokea mwaka 1983, yaani ina miaka sawa na mimi. Nikajifunza kua ukiweka malengo hutimia, haijalishi ni lini utamaliza, pole pole ndio mwendo.
Wednesday, May 25, 2011
Jaydan & Mummy
Namshukuru mungu kwa kuniwezesha kumlea mtoto wangu Jaydan mpaka sasa. Na pia naendelea kuwashukuru wadau wangu wote kwa kunielewa kuwa niko katika kipindi cha malezi ya mtoto wangu. MUNGU AWABARIKI NA KUWALINDA.
(JAYDAN SASA ANA MIEZI 3 NA NUSU)siku zinakimbia jamani juzi tuuuu hapa, duh....
Tuesday, May 24, 2011
USA NI SPRING TIME NI MSIMU WA KUPANDA MAUA, MITI NA MIMEA MBALIMBALI
Huku ni msimu wa kupanda, maua miti na kila aina ya mimea, so kwa sasa kila mtu yuko bussy kwenye garden, iwe majumbani sehemu za bihashara, maofisini, kila mtu anajitaidi kuweka mazingira yake, safi na yakuvutia especially hapo new york, mazingira yanapewa kipaumbele kikibwa sana, na pia yanahifadhiwa, kitu ambacho anaamini hata wenzetu milio DAR, TANZANIA mnaweza kwa kushirikiana kuupendezesha mji na vitongoji vyake, badala ya kuona marundo ya taka, takataka zilizozosambaa hovyo, ila kona ya mji, tunaweza kuona , bustani nzuri za kuvutia
najuwa kwa pamoja tunaweza mazingira ni kuyapa kipaumbele, kuyalinda na kuyahifadhi, nitazidi kuwaletea kazi zangu, tuombe uzima, asanteni - Mrs. Jossyanne
Thursday, May 5, 2011
Like it? Choose, call us, and we can make it happen in your windows..

Tunawaakaribisha sana sana, kuja ofisini kwetu kinondoni studio karibu na sterio bar, tunashona mapazia ya kila design, unaweza kuja na kitambaa chako, ama tukakutafutia maretials, bei zetu ni nzuri, na tunatoza bei kulingana na budget ya mteja. Karibuni sana sana.
NB: Kreative Homez - Homez Deco, sasa inapenda kuwataarifu kua tunaanza kucharge site visit fee, hii ni kutokana na kua tunapunguza usumbufu unaojitokeza. Fee hiyo itarudishwa endapo uta cornfirm order yako. Order cornfimation ni ndani ya wiki moja tokea tumechukua vipimo vya mteja. Ndani ya Dar - Es - Salaam ni 25,000/-.
Stay blessed......
From,
Sylvia
Director
Subscribe to:
Posts (Atom)











