Tuesday, May 24, 2011

USA NI SPRING TIME NI MSIMU WA KUPANDA MAUA, MITI NA MIMEA MBALIMBALI
Huku ni msimu wa kupanda, maua miti na kila aina ya mimea, so kwa sasa kila mtu yuko bussy kwenye garden, iwe majumbani sehemu za bihashara, maofisini, kila mtu anajitaidi kuweka mazingira yake, safi na yakuvutia especially hapo new york, mazingira yanapewa kipaumbele kikibwa sana, na pia yanahifadhiwa, kitu ambacho anaamini hata wenzetu milio DAR, TANZANIA mnaweza kwa kushirikiana kuupendezesha mji na vitongoji vyake, badala ya kuona marundo ya taka, takataka zilizozosambaa hovyo, ila kona ya mji, tunaweza kuona , bustani nzuri za kuvutia
najuwa kwa pamoja tunaweza mazingira ni kuyapa kipaumbele, kuyalinda na kuyahifadhi, nitazidi kuwaletea kazi zangu, tuombe uzima, asanteni - Mrs. Jossyanne

No comments:

Post a Comment