Wednesday, May 25, 2011

Jaydan & MummyNamshukuru mungu kwa kuniwezesha kumlea mtoto wangu Jaydan mpaka sasa. Na pia naendelea kuwashukuru wadau wangu wote kwa kunielewa kuwa niko katika kipindi cha malezi ya mtoto wangu. MUNGU AWABARIKI NA KUWALINDA.

(JAYDAN SASA ANA MIEZI 3 NA NUSU)siku zinakimbia jamani juzi tuuuu hapa, duh....

6 comments:

 1. So cute!!
  I love mama na mwana pic!!!
  Be Blessed

  ReplyDelete
 2. Hongera sana ila jamani unamfunikia sana mtoto ni joto jamani

  ReplyDelete
 3. asanteni, jamani nitampunguza hizo nguo, ila wanasema mtoto hua hasikii joto sana ndio maana ninamjaladia hahaahha. asante kwa ushauri.

  thanks mama Jeremiah,

  ReplyDelete
 4. Mama J watoto wanasikia joto na wakati mwingine unaweza ukamsikia analia ukasema sijui analilia nini kumbe ni joto.

  ReplyDelete
 5. My dear ni kweli mtoto huwa hasikii joto,ila ukamjaza sana nguo ataswet .a akikaa na lile jasho kwa mda mrefu anaweza akapata nimonia.hata mimi mtoto wa kwanza nilikuwa namjaza manguo yani we cha mtoto ndio nikaja nikaambiwa hivo

  ReplyDelete
 6. MI NAONA TU YUKO POA MANA KIPINDI HIKI SIO JOTO SANA, ILA KIKUBWA HAKIKISHA KIFUA, KICHWA NA UNYAYO UMEFUNIKWA JAPO KWA LAYER MOJA.

  MWANAO ANA AFYA HADI RAHA, UNAMPA MAZIWA GANI, YANI HADI RAHA, GUU HILO, SO CUTE JAMANI. PLEASE LET ME KNOW MANA WANGU HAJANIRIDHISHA

  ReplyDelete