Wednesday, April 8, 2015

VITI VYA CHUMA VYA DINNING.....

 Viti hivi vya chuma vimetengenezwa na sisi homez deco.....mteja alikua na meza yake ila viti viliharibika....havikudumu....sasa akatoa oda tukamtengenezea...

 Hivi ndio viti vya mteja....t

tunawakaribisha wote...kwa mahitaji ya viti vya dinning....na meza zake pia wasiliana nasi 0713920565.....

No comments:

Post a Comment