Tuesday, April 21, 2015

MAUA, VYUNGU NA STANDS ZA MAUA

 Homez deco ..tunapenda kuwajulisha kua sasa tumeanza rasmi kuuza maua ya kwenye vyungu....ya ndani ya nyumba naya nje...pamoja na stand za maua za chuma rangi yoyote utakayo.
 Stands ndefu ni 45,000 na fupi 40,000.
 haya ndi maua yaliyotayari kwa kuuzwa..
 Bei ya maua haya makubwa ni 45,000. Kwa kila 1.

 Na haya madogo ni 35,000 kwa kila 1.
 Stands za maua ni 45,000 kwa kila 1
 hizi stand za maua bila vyungu ni 45,000 kwa 1
 Baiskeli ya kwenye garden ni 190,000 bila maua.

Hii ni product ya kukuza maua na kutunza unyevu unyevu kwenye udongo. Bei ni 25,000.
wasiliana nasi 0713920565 kwa mahitaji.

No comments:

Post a Comment