Thursday, March 26, 2015

ZAWADI ZA KITCHEN PARTY NA SENDOFF BIRTHDAY PARTY....AMA SHEREHE YOYOTE KWA UJUMLA....

Homez deco tunayo furaha kuwajulisha kua....kuanzia sasa tunatoa discount kwenye zawadi za full set ya chumbani....ikiwa ni

BED SIDE STOOLS 2
KITANDA...SIZE 5 BY 6 AMA 6 BY 6
DRESSING TABLE...
SHOE RACK... PEA 30....
STAND YA POCHI...
NA KITI CHA KUVALIA VIATU.
Vitu vyote hivi ni vya chuma....
na badala ya 1,400,000....utapata kwa 980,000..kwa color upendayo...

Hii ni kukubali na kuonyesha kua tunajali shughuli yako na tunawapenda...hivyo tunatoa mchango wetu kwenye shughuli yako...

Utachagua design upendayo na utatatengenezewa....
kwa mahitaji wasiliana nasi 0713920565....kuweka oda yako.....
Nb: hatua kali zitachukuliwa kwa udanganyifu wowote....hii ni maalum kwa sherehe tuuuu....

No comments:

Post a Comment