Wednesday, March 25, 2015

BIDHAA ZINAZOPATIKANA DUKANI KWETU.....WASILIANA NASI 0713920565 MIKOANI PIA TUNATUMA......PIA PAGE YETU YA INSTAGRAM @ homezdeco


 Maua na vesse zake...
 Decorations za mezani....
 Baadhi ya flower vesse...colors ni black and white
 Decorations nyeupe zikiwa zimefika nyumbani kwa mteja wetu....ameweka kwenye console table yake
 ua pia likiwa limefika nyumbani kwa mteja wetu..ameweka mwisho wa korido...hakutaka pawe empty
 Na happ ndio sitting room yake...unaona maua yetu...yalivyopendezesha..na saa ya ukutani yetu....ukiweka vitu vichache kwenye showcase yako ya tv hupendeza zaidi ya kujaza vitu.....na hauchoki mapema

 Nilileta carpet kwa order maalum...na hiyo ndio aliyoipenda mteja.....nitawatangazia....kwa upande wa carpets atakaependa nini cha kufanya upate carpets nzuri na za kudumu.

hayo ndio maua....kabla hayajawekwa kwenye vesse...na pia tunauza maua matupu....wasiliana nasi kwa mahitaji yako ya mapambo haya....0713920565...tuko kinondoni karibia na makaburini kama unaenda...bamboo bar....ama kwa director Joan......

No comments:

Post a Comment