Tuesday, December 16, 2014

USHAURI...MAONI....


Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wadau wote.....wateja wote...marafiki ndugu na jamaaa..ambao mmeni support tokea ninaanza biashara hii na huu ni mwaka wa 6 sasa...
Biashara hii yangu imeniwezesha kufika na kuzunguka maeneo mbali mbali... ndani na nje ya Tanzania..... na pia nimeweza kuonana na watu mbalimbali....na kupata wateja....marafiki etc...
Sasa basi...naomba na ninakuja kwenu...ninashukuru sana sana kwa support yenu mnayonipa bila kuchoka....
Homez Deco...tumeamua kutoa nafasi kwenu wadau....wateja...marafiki...etc....tunaomba ushauri....maoni...etc...yahusuyo kazi zetu.. je tuboreshe wapi.... tulikosea wapi... ulikwazika wapi... yaani tuambie.. unachoona wewe ukituaambia... tutaweza kuboresha.. huduma zetu.. na si tutafanya...
Hakuna binadam aliyekamili....na najua kuna ambao nimewakosea... kuna ambao mmenikosea...etc...napenda kuchukua nafasi hii... kuomba radhi... kokote uliko...

Homez Deco.. inakuomba radhi.. kwa mapungufu yaliyojitokeza mwaka huu 2014...nasi tunasamehe wale wote waliotukosea pia.

Tunategemea.. mwaka ujao 2015.. kufanya vizuri zaidi na zaidi.. na hii ni katika mchango wako utakaoutoa kwetu.. wapi na wapi... nini na nini kifanyike....tutafanyia kazi....

Tunakaribisha mchango wako wa mawazo.. maoni... ushauri..etc...kuhusu Homez Deco... waweza kutuandikia kwa sms ama simu no. 0713920565.....ama email: homezdeco@yahoo.com
na pia unaweza ku comment humu humu...kwenye articals za blog hii  na itatufikia..
pia endelea kua nasi katika page yetu ya instagram.. tu follow: @homezdeco

Nawapenda sana sana sana... na endelea kua nasi....Homez Deco....

2 comments:

  1. Huwa hujibu msg za simu na hata email ndo mana hatuchangii siku izi.

    ReplyDelete
  2. inner wall tiles
    Thanks for sharing this informative post and keep it up!
    Have a Merry Christmas!

    ReplyDelete