Tuesday, December 16, 2014

JINSI YA KUTUMIA COLOR ZINAZO SHOUT...KAMA ORANGE...ETC...

 Rangi zinazoshout...ziko nyingi ila leo mimeonelea nitumie kutolea mfano rangi ya orange....
rangi hii ni kali... na ukifanya mchezo.. nayo itafanya pale ulipoitumia kuonekana kituko na hutoipenda....
Napendelea sana sana..kutumia rangi hii kwenye maduka ukutani..kwa mtu anaetaka shouting colors..maana hufanya duka lionekane..
Ila kwa nyumbani.... tumia rangi hii kwa upande wa decorations...na sio ukutani.... kama mifano ya hizi picha hapa.. yaweza kua kwenye pillows...ama pazia.. ama carpet....yaani vitu vidogo vidogo....
kumbuka sofa ni kubwa.. hivyo kua makini.. orange isitawale sana....itakuchosha...

No comments:

Post a Comment