Thursday, December 4, 2014

KIMYA KINGI.....


 Wapendwa...wadau wangu wote wa Homez Deco....poleni sana kwa ukimya wangu... nilikua safari...kwa muda kidogo....ila nimerudi.. nilienda kufuata mzigo wa decor....na nashukuru kwa uvumilivu wenu...

Mara nyingi ninapokua sipo hua ninakua active kwenye instagram yangu ya homez deco....naomba mjumuike nami huku.. ili muendeelee kupata update...

Sio kwamba blog nimeacha...hapana...niko kote kote.. ila pia tunaenda na utandawazi... na nchi zingine.. hizi social networks... hawazikubali... so inayopatikana ndio ninayotumia...
instagram page yangu ni  @homezdeco
naomba kama kuna maswali.. maoni..ushauri..etc.. wasiliana nami kwa simu namba 0713920565....ama email address: homezdeco@yahoo.com

Asanteni.. na nawapenda.. sana....

No comments:

Post a Comment