Monday, March 3, 2014

TODAY IT'S MY BIRTHDAY. ......3/3......MY STAR IS PIECES. ...


Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu wangu muweza wa yote kwa kunipa pumzi mpaka siku hii ya leo.....na pia kuweza kunifikisha hapa nilipo....katika kazi zangu...matunzo ya familia yangu....wafanyakazi wangu pia....etc

Pili napenda kuwashukuru wadau wangu wote wateja wangu wote..kwa support yenu mnayonipa.......

Katika siku yangu hii nimetimiza miaka kadhaa...na nimejaliwa kua na mtoto 1..wa kiume Jaydan...mwenye miaka 3...yeye birthday yake ilikua tarehe 8/2...ana afya njema na ameanza shule sasa...

Naomba Mungu wangu uendelee kunibariki na kunipa pumzi...na katika kazi zangu pia unipe wepesi....na nawaombea wateja wangu. Wadau wangu na wengineo wote...afya njema....na uwabariki kazi ya mikono yao pia....Amen....

Nawapenda wote....
Note:  no party...ni kazi kwa kwenda mbele....chamuhimu ni kuombamema..kwa Mungu wetu.....

Pls....don't mind my hair....I'm not a fashionista.....hahahaha.......just kidding. ...

2 comments:

  1. Hongera kwa kufikia hapo,MUNGU azidi kukulinda.

    ReplyDelete
  2. HAPPY BIRTHDAY MAMA, MUNGU AKUPE MIAKA MINGINE 100, UENDELEE NA MOYO HUO HUO WA KUTUPA USHAURI MBALI MBALI KUHUSIANA NA NYUMBA, MAPAMBO N.K, UBARIKIWE SANA. ENJOY YOUR DAY

    ReplyDelete