Friday, March 14, 2014

UKIMYA WETU.....

 Homez deco tumekua kimya kwa muda...ni kwa kua tunaumwa mimi na mtoto....ila namshukuru Mungu tunaendelea vizuri....na Mungunakipenda jumatatu tunaendelea kama kawaida humu kwenye blog yetu......

Asanteni kwa uvumilivu wenu....

Tunawapenda wote...

1 comment:

  1. Hi pole na kuumwa dada s

    samahani hiyo dressing table hapo nyuma yako bei gani?na je mnatengeneza stand simple for flat tv if yes how much mpendwa?.

    ReplyDelete