Monday, November 8, 2010

TUJIFUNZE KUTAFUTA NA KUFUATA USHAURI

Lovely kitchen, hakuna mavitu meengi, na hii hutokana na mpangilio mzuri wa kwenye makabati.Dada sylvia atawapa ushauri nini ufanye iwe ni ofsini kwako house organazing  na pia tupunguze ubaili kila kitu tunaweka price tags kwa kila kitu mbona mambo mengine ya starehe tunayagarimia kwanini usigarimie nyumbani kwako?

kukapendeza na ukaishi kwenye mazingira mazuri mi najuwa, uwe baba mama au familia mkiweka mpangilio mzuri kila jambo linawezekani, siku zote mwanamke nyumba na usafi hata nyinyi wakina baba pia, kila jambo linawezekana.

ninawatakia week njema na mungu awajalie..

Maana siku zote unanza na nyumbani kwako mi hapo ni jikoni kwangu, sehemu ya bafuni na chumbani kwa wageni hapo nilikaribisha rafiki yangu, jikoni kwangu. asanteni

2 comments:

  1. ah! ya kweli hayo? mbona kama wewe ndo umekaribishwa?

    ReplyDelete
  2. maneno ya kweli hayo,tupapende tunapoishi,kazi nzuri

    ReplyDelete