Wednesday, July 14, 2010

Iam In Arusha Region.

Habari za muda ndugu wadau, Kama nilivyowaambia kuwa nitapunguza sana ku download from the internet na nitakuwa nikiwaletea kazi zangu mwenyewe. Kwa sasa niko Arusha kuanzia tarehe 12/7/10 - 19/7/10. Wiki hii yote niko kwenye site za wateja walionileta huku Arusha. Sasa basi kwa mtakao nihitaji, pls tuwasiliane niweze kuwapa appointment ya lini tunaweza kuonana.(Kuna baridi huku jamani balaaa, na nilivyozoea joto letu Dar, basi full time niko na makoti na scaff) just wait for the Pictures.

Namba yangu ni 0713- 920565 karibuni.

NB: Niliulizwa swali na mama Mbaga wa Arusha, kama niko flexible kusafiri kokote, Jibu ni kuwa niko flexible kusafiri mkoa wowote, na nchi yoyote. Karibu tuwasiliane.

Nawatakia siku njema na kazi njema.

2 comments:

 1. Silivia kip it up u have indentifies the problem tena nakusihi udili a single sana wanaume wengi wana ishi ishi tu hawajui hata kupanga vyumba vyao nikiwemo na mimi tusaidie ili utumie uliho nacho kushare nasi itakuwa poa
  wellome in arusha as i have seen u in arusha hope u gona make a great in arusha
  reagrds
  Enosy

  ReplyDelete
 2. hongera sana Sil.

  ReplyDelete